Skip to content

Follow us!

Free Shipping on Orders $50+ (N. America and UK)

Get in touch with us


Swahili eBook Collection

€14,95
Unit price  per 

Guaranteed safe & secure checkout

    Payment methods
  • American Express
  • Apple Pay
  • Bancontact
  • Diners Club
  • Discover
  • Google Pay
  • Mastercard
  • PayPal
  • Shop Pay
  • Visa

Idia wa Ufalme wa Benin

Idia wa Ufalme wa Benin anawakaribisha wasomaji wachanga kwenye hadithi ya Malkia Idia wa Ufalme wa kale wa Benin. Alichukua jukumu muhimu wakati wa utawala wa mtoto wake, Esigie, ambaye alitawala Benin kutoka mwaka 1504-1550. Hadithi hii inasimulia juu ya Idia ambaye ni mtoto mchanga ambaye alifuata ndoto zake, alijiamini na kuwa Malkia wa kwanza wa Benin.

Njinga wa Ndongo na Matamba

Njinga wa Ndongo na Matamba ni hadithi ya kweli ya msichana ambaye alikuwa karibu kufa wakati wa kuzaliwa, lakini kwa namna fulani alishinda vikwazo vyote na akawa malkia wa falme mbili. Akiheshimiwa kwa hekima, ujasiri, na nguvu zake, Njinga alikua mmoja wa watu mashuhuri zaidi kisiasa nchini Angola miaka ya 1600.
Kitabu hiki cha watoto chenye michoro mingi kinaeleza changamoto alizokabiliana nazo tangu siku aliyozaliwa. Ilibidi Njinga ashinde wivu wa kaka yake, kufiwa na baba yake, na uvamizi wa Wareno huku kipindi cha majaribu makubwa kilipoanza Africa.
Hadithi hii ya matumaini na ujasiri inaonesha kuwa kila msichana mdogo ana uwezo mkubwa.

Imhotep wa Kemet ya Kale

Zaidi ya miaka 4,000 iliyopita, kule Misri ya kale, mvulana mdogo anayeitwa Imhotep alizaliwa. Tangu akiwa na umri mdogo, alifaulu na kwa haraka akatimiza unabii.
Imhotep alikuwa na uwezo wa kuona kupitia matatizo magumu na mara nyingi alikuwa akijaribu mbinu na majaribio mapya. Alikuwa na talanta nyingi, na kama mbunifu, Imhotep alitengeneza piramidi yenye hatua huko Sakkara - moja ya miundo ya ajabu kwenye historia ya kale. Bado piramidi yenye hatua ipo imara mpaka leo.
Kwenye kurasa za kitabu hiki, utagundua Misri anayoifahamu Imhotep, anapokua kutoka kijana mdadisi na kuwa mmoja wa wanaume waliofanikiwa zaidi, werevu na wanaojulikana sana kule Misri ya kale.

Sunjata wa Himaya ya Mandé

Ilikuwa imetabiriwa kuwa Sunjata angekuwa mfalme. Hata hivyo, wengi walitilia shaka ujuzi wa kutimiza unabii huo.
Hadithi hii ni muundo wa shairi la aina yake ambalo limesimuliwa na washairi wa jali tangu karne ya 13. Inasimulia kuhusu mvulana mdogo aliyeshinda hali ya kutojiamini na kuwa muanzilishi wa dola ya Mandé, mojawapo ya himaya zenye utajiri zaidi kwenye historia ya Kiafrika na Mali.
Hadithi ya Sunjata ni ya kuhusu uvumilivu, uthabiti, na kujitolea kwa ajili ya haki za watu.

FAQ

live_help

Didn't find your answer?

Our customer service will be happy to help you.